Unanimaliza Lyrics By Ray C

Unanimaliza Lyrics By Ray C, now sing along with Ray C by reading this lyrics of her single.DOWNLOAD AUDIO HERE
Verse 1🎼

Penzi lako limenkolea,Sijiwezi Darling,
Unayo nipa sijazoea,Sikuachi Honey….
Penzi lako limenkolea, Sijiwezi Darling..
Unayonipa sijazoea,Sikuachi Honey….. Napokwona mi nataka,
Ongeza manjonjo mi na ka ka ta…….
Sitaki mwingine We unanifaa….
Tamaa kwa mwingine mi sinaaa…… Unavyotouch touch kiuno…
Unaamsha amsha yaliyomo……..
Unavyon’gata yako midomooo….. #Unanimaliza 🎶🎶🎶🎼🎼🎼🎵🎤 Wewewewe #Unanimaliza we
Unanimaliza wewewewe Unanimaliza we🎶🎵🎶🎵🎶🎵 Verse 2…..🎼
Si Skizi maneno ya watu,Nimekupenda mwenyewe……
Si Karibishi mi ya watu,Tumependana wenyewe…. Tutaenda wote vitani vitani….
Tutapambana si utani utani
Mambo ni mengi Duniani Duniani… (Ayayayaya)…….
Tutaenda wote vitani vitani….
Tutapambana si utani utani….. .
Mambo ni mengi Duniani Duniani…. (Ayayayayaya)…
Sitaki mwingine,We unanifaa……
Tamaa kwa mwingine Mi Sinaa…….
Unavyotouch touch kiuno….
Unaamsha amsha yaliyomo
Unavyon’gata yako midomoo…. #Unanimaliza🎶🎵🎷🎶🎵🎶🎼🎼🎼 🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶
Mwandishi…. Ray C

Unanimaliza Lyrics By Ray C